Qkweli! Mapenzi yetu yalikua na mvuto, tukila kuku yalivutia zaidi, ikiwa mbaya ilikua balaa zaidi. Ni maneno ya Carmen Electra aliyekua mke wa mcheza kikapu maarufu nchini marekani Dennis Rodman.
"Our relationship was very passionate. When it was good, it was amazing. And when it was bad, it was the worst."
Electra and Rodman wote walitiwa mbaroni 1999 kwa kugombana baada ya kua na mabishano ya nyumbani. Bahati nzuri mashtaka hayo yalitupiliwa mbali, nabaada ya kipindi kifupi walitarikiana.