Mahusiano, udanganyifu na commitment katika mapenzi

Qkweli! Msanii wa US anayepiga muziki wa R&B Joe akiwa katika kuelezea nyimbo yake aliyo itoa mwanzoni mwa mwaka huu iitwayo "Love & Sex" aliyo mshirikisha Kelly Rowland, lakini pia akifunguka kuhusu Mahusiano, udanganyifu na commitment katika mapenzi.